Pages

Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) nchini Tanzania latembelea Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja akimkabidhi zawadi Kiongozi wa msafara wa Ujumbe wa JICA, Bw. Shinya Tomonari.
  Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa vinavyotengenezwa na  wafungwa katika Gereza  Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam
 Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa vinavyotumika kuwafundishia wafungwa ufundi wa magari.
Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa vinavyotengenezwa na  wafungwa katika Gereza  Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)