Pages

TAPELI LANASWA NA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM

Jeshi la polisi likimpakia kwenye gari mtuhumiwa ambaye jina lake halkuweza kufahamika mara moja aliyetuhumiwa kwa kumtapeli kijana mmoja shilingi laki 2 alipokwenda kutoa pesa kwenye mashine ya ATM makao makuu ya benki ya Posta yalioko barabara ya azikwe jijini Dar es salaam.
Polisi wakimuhoji kijana aliyetapeliwa fedha katika benki ya Posta jijini Dar es salaam jana
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa makao makuu ya benki ya Posta  kushuhudia tukio hilo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)