Pages

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa Chama  Cha Mapinduzi ,Jakaya mrisho Kikwete akiteremka kwenye ndege leo Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo .

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Dodoma leo,kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Pius Msekwa, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye. Rais atakuwepo Dodoma kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Mapinduzi utakaoanza tarehe 11 mpaka tarehe 13 Novemba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)