Mshindi wa jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012 Sudson Manatsa akinyanyua juu vikombe vyake viwili alivyoshinda
wakati wa Mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya
Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya
Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano
ya Johnnie Walker Waitara Trophy, Mlezi
wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa
kutoka nchini Kenya akimkabidhi
zawadi Mshindi wa
jumla wa mashindano ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012 Sudson
Manatsa. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji
chake cha Johnnie Walker.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
Stephen Gannon akimkabidhi zawadi Mshindi wa pili wa daraja A, Aidan
Nziku kikombe na zawadi nyingine baada
ya kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Kampuni
ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha
Johnnie Walker.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
Stephen Gannon akimkabidhi zawadi Mshindi wa daraja A, Michael Makala kikombe na zawadi nyingine baada ya
kuibuka mshindi wa kundi hilo katika mashindano ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Kampuni
ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha
Johnnie Walker.
Mgeni rasimi wa Mashindano ya
Johnnie Walker Waitara Trophy, Mlezi wa Gofu nchini Kenya na Mkurugenzi
wa ICEA LION, Dunkan Nderitu Ndengwa akizungumza
wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji

chake cha Johnnie Walker. Wengine kutoka kulia ni Jenerali mstaafu George Waitara (mwenye mashindano), Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti
jaji mstaafu Mark
Bomani na Mkurugenzi Mkuu wa SBL, Stephen Gannon.
Mkuu
wa Majeshi Mtaafu, Jenerali George mwita Waitara akizungumza wakati wa
tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania
kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa
mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara
katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti
imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Mwenyekiti
wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti jaji mstaafu Mark Bomani
akimkabidhi zawadi kwa baadhi ya wachezaji wa gofu waliofanya vizuri
katika mashindano hayo. Jaji Bomani pia ni Mlezi wa Gofu Tanzania.
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti
jaji mstaafu Mark
Bomani akimkabidhi ubao
maalum wa kuandika Majina ya Washindi ya kila mwaka. Jaji Bomani pia ni Mlezi
wa Gofu Tanzania.
Wadau mbalimbali walikuwepo katika utoaji zawadi kwa washindi wa kombe la Johnnie Walker Waitara 2012.
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Bia ya Serengeti
jaji mstaafu Mark
Bomani akizungumza
wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji
chake cha Johnnie Walker.
Brand
& Marketing Coordinator wa Precisition Air, Hillary Mremi,
akizungumza wakati wa tafrija ya utoaji zawadi kwa washindi ya michuano
ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Mashindano
hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili mwaka huu kwaajili yua kuenzi
mchango wa Jenerali Waitara katika gofu nchini yalidhaminiwa na Kampuni
ya Bia ya Serengeti imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake
cha Johnnie Walker na kampuni ya Ndege ya Precision Air
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
Stephen Gannon akizungumza wakati wa tafrija ya
utoaji zawadi kwa washindi ya michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie Walker Waitara 2012. Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini
mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
Mkuu
wa Majeshi Mtaafu, Jenerali George mwita Waitara (kulia) akikabidhi
tuzo maalum ya shukrani kwa wageni waalikwa kutoka nchi marafiki na JWTZ
walioshiriki katika michuano ya gofu ya kuwania kombe la Johnnie
Walker Waitara 2012. Mashindano hayo yaliyofanyika kwa mara ya pili
mwaka huu kwaajili yua kuenzi mchango wa Jenerali Waitara katika gofu
nchini yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti imedhamini
mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)