Pages

HALMASHAURI KUU YA CCM YACHAGUA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC) kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kwanza cha Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC) kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma leo.
Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt. Asha-rose Migiro, akitambulishwa
Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt Asha-rose Migiro akipongezwa.
Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dkt Asha-rose Migiro akipongezwa na mama Salma Kikwete.
Wadau wakimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mhe. Lameck Madelu Nchemba
Picha ya pamoja ya  Halmashauri Kuuta Taifa ya CCM (NEC) nje ya Makao Makuu ya CCM Dodoma leo.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)