All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
GARI MOSHI LA MWAKYEMBE LIKIENDELEA KUFANYA KAZI KWA UFASAHA KABISA
Hilo ndio gari moshi la Mh Mwakyembe likiwa linaelekea ubungo maziwa leo kwenye majira ya Saa Kumi Jioni na hapa ilikua ni maeneo ya Shaurimoyo.Hakika Ni Usafiri Mzuri wa Ndani ya Jiji la Dar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)