Pages

Dk Mwinyi atembelea Vituo vya uchunguzi na matibabu vinavyojengwa mkoani Dodoma na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi (kulia) akizungumza kabla ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha uchunguzi na Matibabu katika Chuo Kikuu cha Dodoma kinachonjengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Dk. Emmanuel Humba baada ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Mfano cha Uchunguzi na Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kinachojengwa na Mfuko huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)