| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Shukuru
Kawambwa, Balozi wa Korea nchini, Young-Hoon Kim na Viongozi wa VETA,
wakati akitembelea na kukagua baadhi ya majengo mapya yaliyojengwa ya
Chuo cha Ufundi Stadi cha VETA, baada ya kuzindua rasmi chuo hicho mkoa
wa Lindi jana Aprili 10, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)