Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe(kushoto) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakipiga kura kuchagua wagombea wa ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki
Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe(kushoto) na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda wakipiga kura kuchagua wagombea wa ubunge katika Bunge la
Afrika Mashariki , mjini Dodoma. Kulia kwa Mbowe ni Naibu Kiongozi wa
Upinzani Bungeni, Kabwe Zitto. (Picha na Mohammed Mambo).
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)