| Mwanafunzi
Zuhura Michenje (kushoto) wa Shule ya Sekondari Ilulu, mkoani Lindi,
akifanya majaribio kwa vitendo baada ya shule hiyo kupata msaada wa
vifaa vya maabara vyenye thamani ya sh. Milioni 11 kutoka Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), wakati wa hafla iliyofanyika juzi shuleni hapo. Kutoka
kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu, Mkurugenzi wa Uhusiano wa
kampuni hiyo, Steve Kilindo na Mkuu wa Mkoa huo, Meck Sadick. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)