Pages

ASKARI WA USALAMA BARABARABI KAZINI.

Askari wa Usalama barabarabi wakipumzika katika kibanda maalum walichowekewe pembezoni mwa barabara ya Nyerere eneo la Tazara, ambapo kutokana na kuchoshwa na jua kali muda mwingine wamekuwa akipumzika mahala hapa bila kujali na kama hawaoni vurugu za magari na foleni kubwa inayokuwa katika barabara hiyo. 
Na muda mwingine huwashangaza watu kwa kuwa bize kuongoza magari huku Taa zikiwa zinafanya kazi jambo ambalo huwakera madereva wengi na kusababisha msongamano mkubwa kutokana na wao kuita magari ya upande mmoja zaidi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)