Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na msajili wa vyama vya siasa nchini
John Tendwa mara baada ya kushuhudia uzindunzi wa mpango wa maendeleo
wa miaka mitano 2011/12-2015/16 ulionziduliwa na Rais ,Jakaya Kikwete
katika ukumbi wa mikutano wa St. Gaspar mjini Dodoma jana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)