Waziri
wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi(kulia)
akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatibu
nje ya ukumbi wa Bunge la Tanzania mara baada ya kuharishwa kwa kikao
cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge umeanza jana Juni 7, 2011 mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)