| Waziri wa habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Emmanuel Nchimbi akimkabidhi Salum Rupia Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, mfano wa cheki yenye thamani ya shilingi milioni 42 kama zawadi kwa timu hiyo, baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi kuu ya Vodacom mwaka huu katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli Paradise City jijini Dar es salaam jana .Wanaoshuhudia tukio hilo katika picha katikati kulia ni George Rwehumbiza Mkuu wa udhamini Vodacom Tanzania, Angetile Osiah Katibu Mkuu wa shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania TFF na wengine kutoka kushoto ni Mwesigwa katibu Mkuu wa Yanga na Bw. Binda mmoja wa viongozi waandamizi wa Yanga. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)