Kaunta Mbalimbali za M-pesa kama inavyoonekana katika jengo la shirika la Posta la Mbeya ambapo mawakala tofauti tofauti wa M-Pesa wameunganishwa pamoja ambapo kila mmoja ana kaunta yake, sasa burudani ni pale mteja
unapowasili kila lugha ya kubembelezwa unaipata-- karibu baba karibu hapa ,
welcome , this is a favolable counter na kila maneno matamu! Ubunifu muhimu kwenye biashara
 |
| Credits: Mbeyayetu Blog |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)