| Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka Akishuhudia vitu vya URBAN PULSE live kutoka Jikoni |
Baraka Baraka akimwonesha Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka baadhi za kazi za URBAN PULSE
| Director wa Lovely Gamble Renny akicheki Documentary iliotengenezwa na URBAN PULSE Ambayo iko katika hatua ya Mwisho ambayo itarushwa hewani mara itakapokuwa tayari |
Director wa Lovely Gamble Renny akiwachekesha Baraka Baraka na Mkurugenzi wa Aset Asha Baraka alipotembelea Studio za URBAN PULSE




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)