IFM MABINGWA POOL HIGHER LERNING JIJINI DAR.
Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifurahia kitita cha Sh 500,000, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo vya Dar es Salaam, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Coco Beach
Mashabiki,wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wakifuatilia michuano.
Kazi ipo..
Mchezaji wa IFM, Charles Venance akicheza
CBE wakikata taamaa huku baadhi wakiomba Mungu aingilie kati.
IFM wakishangilia na kucheza baada ya kuibuka mabingwaa Na Machella Blog.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)