50 WANUSURIKA BAADA YA BASI LA TAQWA KUPINDUKA LEO IRINGA
Habari zinzasema watu zaidi ya 50 wamenusurika na mauti na wengi wao kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Taqwa kupata ajali mbaya eneo la Iyofi mpakani mwa Iringa na Morogoro leo. Inadai kuwa basi hilo lilikuwa likielekea jijini Dar es Salaam.
Picha na Francis Godwin
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)