MY LOVE: WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA....NI KATIKA KIPANDE CHA FILAMU YAKE MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MY LOVE: WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA....NI KATIKA KIPANDE CHA FILAMU YAKE MPYA




Msanii na Miss Tanzania Mstaafu Wema Aizak Sepetu amefariki dunia akiwa njiani akiwaishwa hospitali baada ya kuanguka akiwa ofisini kwake. 

Msanii huyu maarufu nchini inasemekana alipata mshtuko baada ya kusikia kuwa mpenzi wake alipata ajali mda mchache uliopita. 

Hayo ni baadhi ya matukio katika muvi mpya iliyotoka jana inayoitwa My Love. Ndani yupo Wema alicheza kama mke wa Hemed Phd, tafadhali usikose nakala yako sasa

KATIKA FILAMU HIYO MPYA IITWAYO "MY LOVE" ILIYOTOKA JANA AMBAPO KUNA KIPANDE KINACHOMUONYESHA WEMA SEPETU AMEPATA AJALI BAADA YA KUPATA TAARIFA KUWA MPENZI WAKE AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUPATA AJALI.

FILAMU HIYO INA VIPANDE AMBAVYO KIUKWELI VIMECHEZWA KWA USTADI WA HALI JUU KABISA NDANI HUMO UTAKUTANA NA WAKALI WA FILAMU KAMA VILE HEMED PHD NK



No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages